Hahahaha hii ya kweli ya kichama kama sio ya kitaalumaHahahha na zile za .......Natambua uwepo wa Baba mzazi wa Bibi arusi,..Prof. Tilalila bin Mitungi. Yeye ni Profesa na PhD yake aliiichukulia kule Marekani
Natambua uwepo wa Mama mzaa chema, Dr. Kiroba bint Nyagi, yeye aliishi Bradford kwa miaka saba,
Nisisahau uwepo wa Baba Mdogo wa Bibi Arusu, Dr. Ambari wa Achari, ni Dr. kwa Mwananyamala, yeye aliishi sana Ujerumani
Natambua uwepo wa Pro. Naniliu, yeye pia ni Mbunge wa Jombo la Naniliu
Bila kusahau Uwepo wa Mr. Kaka wa Braza, yeye ni jirani yake Profesa
Eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!
hahahha na zile za .......natambua uwepo wa baba mzazi wa bibi arusi,..prof. Tilalila bin mitungi. Yeye ni profesa na phd yake aliiichukulia kule marekani
natambua uwepo wa mama mzaa chema, dr. Kiroba bint nyagi, yeye aliishi bradford kwa miaka saba,
nisisahau uwepo wa baba mdogo wa bibi arusu, dr. Ambari wa achari, ni dr. Kwa mwananyamala, yeye aliishi sana ujerumani
natambua uwepo wa pro. Naniliu, yeye pia ni mbunge wa jombo la naniliu
bila kusahau uwepo wa mr. Kaka wa braza, yeye ni jirani yake profesa
eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!

last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.

Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??
Mie ndio maana harusi nazoandaa zinakuwa kama tamasha, hakuna cha utambulisho wala nini, kwanza unatambulisha ili iweje? tambua baba na mama wanatosha, nasaha pia zinaboa tu
Hahahha na zile za .......Natambua uwepo wa Baba mzazi wa Bibi arusi,..Prof. Tilalila bin Mitungi. Yeye ni Profesa na PhD yake aliiichukulia kule Marekani
Natambua uwepo wa Mama mzaa chema, Dr. Kiroba bint Nyagi, yeye aliishi Bradford kwa miaka saba,
Nisisahau uwepo wa Baba Mdogo wa Bibi Arusu, Dr. Ambari wa Achari, ni Dr. kwa Mwananyamala, yeye aliishi sana Ujerumani
Natambua uwepo wa Pro. Naniliu, yeye pia ni Mbunge wa Jombo la Naniliu
Bila kusahau Uwepo wa Mr. Kaka wa Braza, yeye ni jirani yake Profesa
Eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!
mimi ndio maana huwa nahamisha meza watulast wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.
Je ni sawa kumtambulisha harusini/send off mpenzi wako wa zamani hata kama umezaa nae??

huyo mdada alishazaa nae zamani nadhani ndio maana bwana harusi hakumind sana
Hahahha na zile za .......Natambua uwepo wa Baba mzazi wa Bibi arusi,..Prof. Tilalila bin Mitungi. Yeye ni Profesa na PhD yake aliiichukulia kule Marekani
Natambua uwepo wa Mama mzaa chema, Dr. Kiroba bint Nyagi, yeye aliishi Bradford kwa miaka saba,
Nisisahau uwepo wa Baba Mdogo wa Bibi Arusu, Dr. Ambari wa Achari, ni Dr. kwa Mwananyamala, yeye aliishi sana Ujerumani
Natambua uwepo wa Pro. Naniliu, yeye pia ni Mbunge wa Jombo la Naniliu
Bila kusahau Uwepo wa Mr. Kaka wa Braza, yeye ni jirani yake Profesa
Eh utadhani tuko kwenye mkutano wa kichama, kumbe arusi!!

Hata kama alishazaa naye sio fair bana kwa huyu mume mtarajiwa....ingekuwa ni mimi mbona ningenyanyuka na kuondoka isiwe tabu aendelee na huyo huyo aliyemzalisha nyambaff.....kwani mara ngapi xboyfriends wanaenda kwenye parties za wenza wao wa zamani lakini kwani wanatambulishwa??
Nafurahi hapa kwamba umeona harusi ni big dayhuo ni upuuzi,kuna watu thinking capacity yao wamebakisha ya kuvukia barabara tu...utafanyaje kitu kama hicho on your big day?
Nafurahi hapa kwamba umeona harusi ni big day
kwa ufupi katambulishwa mme mwenzake!
Nafurahi hapa kwamba umeona harusi ni big day
anaemua huyo binti ajue kapendwa kwa sababu na siku si nyingi ha ma x watarudiana.:disapointed:last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa kwanza kabisa" mwisho wa kunukuu, mwanaume akasimama watu wakaguna ukumbini, ila nilipofuatilia ni kakuta huyo X-BF amazaa nae mtoto mmoja.