mimi sichangii mpaka msitu wa pande ufyekwe.
wanamazingira wanasema utapotea bya 2035 (kama sijakosea)
mimi sichangii mpaka msitu wa pande ufyekwe.
mimi sichangii mpaka msitu wa pande ufyekwe.
habari wana jamii
naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji
laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni viongozi wa serikali na siye wengine ni waandishi tu wa habari
sio nia yangu kuanza hivyo lakini imenipasa kuanza na hiyo maana hata waandishi nao ni muhimiri wa nne wa serikali hivyo wanaposema kitu au jambo fulani ni lazima serikali ikalichunguza kwa makini
kilichi nipelekea kusema kituko cha Mh.waziri mkuu ni kutokana ana kauli yake aliyoitoa juzi jumatano pale bungeni wakati akijibu hoja zilizokuwa zikielekezwa kwake naofisi yake kutoka kwa wabunge..alipoulizwa juu ya mgomo wa madaktari alisema kuwa angelitolea ufafanuzi jana lakini kinyume na hapo jana akatueleza kuwa swala hili liko mahakamani hivyo haitakuwa busara yeye kulitolea ufafanuzi swali je?wakati anawaahidi watanzania hakujua kama swala hili liko mahakamani??
watanzania tuelewe nini juu ya swala hili?
naomba kuwasilisha
Baada ya mgomo wa madaktari uliopita (Sio huu) Pinda aliapa hautorudia tena. Naukumbuka ule msemo usemao a lie must have memory!Yaani huyo PM ni mbumbumbu namba wani, yeye kila kitu anachokifanya kinakuwa na negative response tu. Mwaka jana alienda Udom akadanganya wanafunzi kuwa wataenda field lakini muda ulipowadia wakaambiwa hakuna field na mwisho wake wanafunzi wakatimuliwa. Mwanzoni mwa mwaka huu napo aliwaambia madaktari kuwa wataajiri madokta wa kigeni hivyo akashindwa kumaliza mgomo wa madaktari mpaka pale dhaifu mwenzake alipoingilia kati kwa kunywa juisi na madaktari, mara aseme hajui kwa nini watanzania ni maskini. Sijui hata kama huyu jamaa alistahili hata kuwa msafisha vyoo sembuse uwaziri mkuu. Wamempa mzigo mzito sana, ana akili finyu afadhali hata ya akili ya mtoto mchanga kuliko akili yake ya liwalo na liwe pamoja na kulia bungeni.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
mexe mpige ban kisaka moris kamtukana WAZIRI MKUU WAKE HANA ADAMU HUYU....Hamna PM pale', naye ni dhaifu na hafifu sana.
Ccm wamekosa watu makini wakufanya haya mambo, kama walitaka kumuua ulimboka dr kwa maslai ya nchi kwanini wafanye kijinga hv! C bora wangemkamata na kumficha sehemu na siku akitoka huko wampoteza kumbulumbu zote? Wajinga gn wapo huko na nyerere alipata wapi wasaidizi wake!? Jk kama vp badili watu wako wa karibu wapo very low sana!
Huyu kitaaluma ni mwanasheria, haiwezekani kesho yake aje kusema hataongelea kitu iliyo mahakamani. Labda wakati anasema liwalo na liwe alikuwa hajajua kuwa mpango wao wa kumuua Dr Ulimboka umetibuka.habari wana jamii