kituko cha refa

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Refa mmoja alikuwa anachezesha mechi mara ikapigwa cros safi then refa kauganisha kwa tikitaka hadi ndani ya nyavu.
Guess kilichofuata...

 
Atapigwa mabusu na timu iliyoshinda na ktk sheria za fifa ni goli
 
Back
Top Bottom