Kituko cha Paje Zenji. Dua ya kumvimbisha mtu tumbo

Kwa karne hii kweli kwenye hadhira rasmi viongozi wanaruhusu huu ujinga?
Ni hofu?
Ni woga?
Ni matisho?
Ni mkwara ama ninini?

Wazee wa Paje wamejitokeza hadharani na kuchimba mkwara kwa yeyote anayekusudia kumdhuru mama na viongozi wengine. Wamejiapiza kumvimbisha mtu tumbo na kumtia chura ya tumbo

Kumbe uchawi bado una nafasi kubwa kwenye serikali zetu na bado viongozi wetu wanaamini ulinzi na malipizi ya kishirikina.

Sijui intelijensia ilikuwa wapi mpaka ikaruhusu haya yatokee

Cha kushangaza cjawaona wale masheikh ubwabwa wakija na tamko la kulaani au yule mzee wa upako. Wao wanasubir waraka.
 
Nakumbuka wakati Fulani pale Jangwani UKAWA walikuwa wanafunga kampeni zao za uchaguzi mkuu, Dua ikaombwa atayeiba Kura za uchaguzi mkuu afe....🤣🤣

Tuwe Makini with what we spell....mdomo huumba, the Universe listens...
Aisee..
 
Umeandika kikuda Sana.
Screenshots_2023-09-02-06-38-40.jpg
FB_IMG_1693625136623.jpg
 
Na Jumapili hii utasomwa kwa mara Ya 3, bado 3 [emoji23]
Useless,
§ Tibaijuka + mkombozi bank +rugemalila + Ticts + 40.4mil,+40.4mil,+80.4mil,+....(}[¥®™¿~^><¦¬😉
Changanya na zako! 😴😴
 
Useless,
§ Tibaijuka + mkombozi bank +rugemalila + Ticts + 40.4mil,+40.4mil,+80.4mil,+....(}[¥[emoji2400][emoji769]¿~^>Changanya na zako! [emoji42][emoji42]
Hahahahaa[emoji23]... Tuko kwenye waraka kwasasa hayo mengine hapa sio sehemu yake wala wakati wake
 
Kwa karne hii kweli kwenye hadhira rasmi viongozi wanaruhusu huu ujinga?
Ni hofu?
Ni woga?
Ni matisho?
Ni mkwara ama ninini?

Wazee wa Paje wamejitokeza hadharani na kuchimba mkwara kwa yeyote anayekusudia kumdhuru mama na viongozi wengine. Wamejiapiza kumvimbisha mtu tumbo na kumtia chura ya tumbo

Kumbe uchawi bado una nafasi kubwa kwenye serikali zetu na bado viongozi wetu wanaamini ulinzi na malipizi ya kishirikina.

Sijui intelijensia ilikuwa wapi mpaka ikaruhusu haya yatokee

Hata waganga wa Gamboshi waliwahi kutoa matamko kama haya kumlinda bwana fulani, sio tamko la ajabu Bali ni sehemu ya utamaduni wa Mwafrika.

Wewe mwenyewe mabandiko Yako mengi ni kuhusu uchawi na ushirikina. Wacha kazi iendelee
 
Wewe mwenyewe mabandiko Yako mengi ni kuhusu uchawi na ushirikina. Wacha kazi iendelee[emoji23]
 
Kwa karne hii kweli kwenye hadhira rasmi viongozi wanaruhusu huu ujinga?
Ni hofu?
Ni woga?
Ni matisho?
Ni mkwara ama ninini?

Wazee wa Paje wamejitokeza hadharani na kuchimba mkwara kwa yeyote anayekusudia kumdhuru mama na viongozi wengine. Wamejiapiza kumvimbisha mtu tumbo na kumtia chura ya tumbo

Kumbe uchawi bado una nafasi kubwa kwenye serikali zetu na bado viongozi wetu wanaamini ulinzi na malipizi ya kishirikina.

Sijui intelijensia ilikuwa wapi mpaka ikaruhusu haya yatokee

Huko CCM shirki ni jadi yao,nakumbuka Kikwete alifanyiwa zindiko kule Mwanza hadi mganga mmoja wa jadi akaingilia kati kwa kujaribu kumbidua Kikwete kwenye kile kigoda walichokuwa wanafanyia hilo zindiko.Marehemu Sheikh Yahya Hussein pia aliwahi kusema amemzidika Kikwete ili asianguke tena jukwaani. Na Magufuli alifanyiwa zindiko na waganga zaidi ya 900 kule Gamboshi. CCM ni wachawi ndiyo maana hawana hofu ya Mungu wanaua,wanateka na kuiba kura.
 
Kwa karne hii kweli kwenye hadhira rasmi viongozi wanaruhusu huu ujinga?
Ni hofu?
Ni woga?
Ni matisho?
Ni mkwara ama ninini?

Wazee wa Paje wamejitokeza hadharani na kuchimba mkwara kwa yeyote anayekusudia kumdhuru mama na viongozi wengine. Wamejiapiza kumvimbisha mtu tumbo na kumtia chura ya tumbo

Kumbe uchawi bado una nafasi kubwa kwenye serikali zetu na bado viongozi wetu wanaamini ulinzi na malipizi ya kishirikina.

Sijui intelijensia ilikuwa wapi mpaka ikaruhusu haya yatokee

Ni moja ya ulinzi kwa njia isiyo onekana!
 
Watu wema hawadhuriwi na vitu kama hivyo... Watu wema hawatafuti backup za nguvu za giza
Watu wema hawaogopi majaribu
Watu wema hawatishwi na maadui kwakuwa wema wao huwajengea ulinzi imara kiroho!

Mikwara ya namna hiyo mbele ya kadamnasi kisha baada ya hapo unaenda nyumba ya ibada kuomba toba ni kuchanganya mamlaka mbili kwenye mwili mmoja

Kuna mtu aliitisha kwa kodi za wanyonge manabii na mitume 400 wamuombee kisha akaitisha wachawi 400 wamzindike! Kilichotokea kinajulikana
Mungu hadhihakiwi kamwe.
 
Haina haja ya kuogopa, uzuri wa laana ikitolewa inazunguka, ikikosa mtu/watu wenye sifa zilizotolewa hiyo laana hurudi kwa mtoaji....laana haipotelei hewani.

Je mtoaji hiyo laana ni msafi? Yetu macho tumekaa pale.
Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa alimlaani Mange Kimambi kuwa hatasikika tena lakini hadi leo Mange anatimba ila Sheikh ndiye hasikiki tena.
 
Nakumbuka wakati Fulani pale Jangwani UKAWA walikuwa wanafunga kampeni zao za uchaguzi mkuu, Dua ikaombwa atayeiba Kura za uchaguzi mkuu afe....🤣🤣

Tuwe Makini with what we spell....mdomo huumba, the Universe listens...
Kwakweli !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom