Kituko cha Paje Zenji. Dua ya kumvimbisha mtu tumbo

Watu wema hawadhuriwi na vitu kama hivyo... Watu wema hawatafuti backup za nguvu za giza
Watu wema hawaogopi majaribu
Watu wema hawatishwi na maadui kwakuwa wema wao huwajengea ulinzi imara kiroho!

Mikwara ya namna hiyo mbele ya kadamnasi kisha baada ya hapo unaenda nyumba ya ibada kuomba toba ni kuchanganya mamlaka mbili kwenye mwili mmoja

Kuna mtu aliitisha kwa kodi za wanyonge manabii na mitume 400 wamuombee kisha akaitisha wachawi 400 wamzindike! Kilichotokea kinajulikana
Haina haja ya kuogopa, uzuri wa laana ikitolewa inazunguka, ikikosa mtu/watu wenye sifa zilizotolewa hiyo laana hurudi kwa mtoaji....laana haipotelei hewani.

Je mtoaji hiyo laana ni msafi? Yetu macho tumekaa pale.
 
Neno tukufu kwenye andiko lako ni "watu wema" hawaa hawadhuriwi hata na Mungu mwenyewe wala shetan hana power nao, ilaa ukikusudia baya kwa dhamira kama walioisema hao wazee wa hilo eneo HAUCHOMOKI.
 
Haina haja ya kuogopa, uzuri wa laana ikitolewa inazunguka, ikikosa mtu/watu wenye sifa zilizotolewa hiyo laana hurudi kwa mtoaji....laana haipotelei hewani.

Je mtoaji hiyo laana ni msafi? Yetu macho tumekaa pale.
Je mtoaji hiyo laana ni msafi? Yetu macho tumekaa pale.[emoji419][emoji375]
 
Kwa karne hii kweli kwenye hadhira rasmi viongozi wanaruhusu huu ujinga?
Ni hofu?
Ni woga?
Ni matisho?
Ni mkwara ama ninini?

Wazee wa Paje wamejitokeza hadharani na kuchimba mkwara kwa yeyote anayekusudia kumdhuru mama na viongozi wengine. Wamejiapiza kumvimbisha mtu tumbo na kumtia chura ya tumbo

Kumbe uchawi bado una nafasi kubwa kwenye serikali zetu na bado viongozi wetu wanaamini ulinzi na malipizi ya kishirikina.

Sijui intelijensia ilikuwa wapi mpaka ikaruhusu haya yatokee

View attachment 2735897
Hili mi nililihisi tangu mwanzo!
Haina tofauti na wale waganga wa gamboshi wakati wa JPM, waliosema ni mtu wao na wao ndio wamemuweka kuwa rais.
Nchi ina vituko hii!
 
Hawa wachawi wapiga mkwara huwa wapo kuwatisha wapinzani wa mtawala. Kuna wengine nao waliwahi kutoa kitisho kwa yeyote atakayempinga mgombea fulani aliyekuwa anagombea huku akiwa madarakani. Hao wachawi wenyewe ndio watatiwa hizo mimba za chura
 
Nakumbuka wakati Fulani pale Jangwani UKAWA walikuwa wanafunga kampeni zao za uchaguzi mkuu, Dua ikaombwa atayeiba Kura za uchaguzi mkuu afe....🤣🤣

Tuwe Makini with what we spell....mdomo huumba, the Universe listens...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ubarikiwe mkuu kwa kumbukumbu hii murua!

Kiufupi ni aina ya 'changamsha genge' tu, hata haimaanishwi hicho kinachosemwa. Great thinkers ilipaswa walijue hili mapema zaidi.........ila ndo hivyo tena, CHUKI zimetamalaki basi hata utani unageuzwa kuwa BOOOOONGE LA THREAD!!
 
Hawa wachawi wapiga mkwara huwa wapo kuwatisha wapinzani wa mtawala. Kuna wengine nao waliwahi kutoa kitisho kwa yeyote atakayempinga mgombea fulani aliyekuwa anagombea huku akiwa madarakani. Hao wachawi wenyewe ndio watatiwa hizo mimba za chura
Kuna wengine mkuu yakupasa kuongezea kwenye mfano, rejea post #11 🤭🤭🤭🤭
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubarikiwe mkuu kwa kumbukumbu hii murua!

Kiufupi ni aina ya 'changamsha genge' tu, hata haimaanishwi hicho kinachosemwa. Great thinkers ilipaswa walijue hili mapema zaidi.........ila ndo hivyo tena, CHUKI zimetamalaki basi hata utani unageuzwa kuwa BOOOOONGE LA THREAD!!
Utani kwa kutumia kodi Zetu? Hizi ni akili au ni maruhani? Na sare wakashonewa?
Screenshots_2023-09-01-19-25-33.jpg
 
Watu wema hawadhuriwi na vitu kama hivyo... Watu wema hawatafuti backup za nguvu za giza
Watu wema hawaogopi majaribu
Watu wema hawatishwi na maadui kwakuwa wema wao huwajengea ulinzi imara kiroho!

Mikwara ya namna hiyo mbele ya kadamnasi kisha baada ya hapo unaenda nyumba ya ibada kuomba toba ni kuchanganya mamlaka mbili kwenye mwili mmoja

Kuna mtu aliitisha kwa kodi za wanyonge manabii na mitume 400 wamuombee kisha akaitisha wachawi 400 wamzindike! Kilichotokea kinajulikana
Kosa mali upate elimu
Hawa vyote hawana
Siwalaumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom