Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,483
- 11,691
Haya tukuulize rafiki yako ana gari gani hilo la kushobokewa?
Haya tukuulize rafiki yako ana gari gani hilo la kushobokewa?
Naamini weekend inaenda
poa.
Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo
ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki
yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka
kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi?
jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke
akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na
kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.
Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule
mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye
alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.
Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??
Mchana mwema.!
si wote maana mm gari chini ya mil 100 kawaida halinitishi maana wana njaa mpaka mafuta nisheeeeda
inawezekana huyu mwanamke amemuibia huyo mjamaa aliyemuacha ndani so anampotea kijanja.
Itakuwa ford zile za zamani, wanazipenda sana eti hazili mafuta, ha ha haa.
Si unajua magari mengi ya Arusha? Ana Land cruiser "macho panzi"
Nikadhani magari ya gharama kumbe cruiser?Sawa basi tumejua rafiki yako ana gari
Nitamtafuta kesho anipe mrejesho ila sina shaka naye,huyo mwanamke mwenyewe umbo la kimiss,na rafiki yangu ni mtoto wa mjini na ameshaishi nchi kibao so aina nyingi za uhuni na umafia anazijua.
Naamini weekend inaenda poa.
Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi? jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.
Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.
Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??
Mchana mwema.!
Hii habari haina mashiko hapa. Kwanza haituhusu. Inatusaidia nini habari kama hii? Umekurupuka tu, ukaanza kutype bila kujua mantiki ya unachotaka kuandika. Isitoshe umeandika habari za umbeya ambazo hujazifanyia utafiti. Labda wanawake wa ngaramtoni ndio dhaifu kwenye magari. Wanawake wa Dar hawana ushamba kama huo wa ngaramtoni huko arusha. Siku nyingine tuliza ubongo wako kabla hujaanza kuandika bandiko lako hapa JF. Hakikisha bandiko lako lina mashiko na hoja ya msingi.Naamini weekend inaenda poa.
Leo nikiwa katika hoteli fulani nikikutana na rafiki yangu katika mambo ya kazi,mimi nilitangulia kufika hotelini hapo kisha akafuata rafiki yangu aliyekuja na gari yake,tukazungumza mambo yetu wakati anataka kuondoka akatokea mwanamke mmoja akiyemuuliza rafiki yangu anaenda wapi? jamaa yangu akamjibu kuwa analelekea Ngaramtoni,yule mwanamke akakurupuka mbio na kushuka toka kwenye balcony ya hoteli hiyo na kumuacha mpenzi wake waliye kuwa wameketi wote wakipunga upepo.
Rafiki yangu alimsubiri ashuke na kuondoka naye,sasa najiuliza yule mwanamke kashobokea gari au ni kitu gani?
Nina uhakika wa asilimia zote kuwa hawajuani na rafiki yangu,maana naye alishangaa kuona mtu akiomba lifti kwa nguvu.
Hivi inakuwa wanawake wengi kuwa udhaifu kwenye magari??
Mchana mwema.!
Hii habari haina mashiko hapa. Kwanza haituhusu. Inatusaidia nini habari kama hii? Umekurupuka tu, ukaanza kutype bila kujua mantiki ya unachotaka kuandika. Isitoshe umeandika habari za umbeya ambazo hujazifanyia utafiti. Labda wanawake wa ngaramtoni ndio dhaifu kwenye magari. Wanawake wa Dar hawana ushamba kama huo wa ngaramtoni huko arusha. Siku nyingine tuliza ubongo wako kabla hujaanza kuandika bandiko lako hapa JF. Hakikisha bandiko lako lina mashiko na hoja ya msingi.
Unamwacha rafiki yako anaingia kwenye mtego wa jambazi kirahisi hivo!