Hakuna kitu kinacho tufurahisha sisi wanaume kama kuwa na demu mpya chumbani. Tena huyo demu akwambie "hebu funga huo mlango vizur bhn"
yaani unaweza kuvunjika mguu kwa furaha..
Cjui nyie wanawake kipi kina wafurahisha..?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.