Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Hapana yakhe inaitwa life style disease!!
hahahaaa....... Nimeipenda hii aisee! I hate ubonge nyanya!
Hapana yakhe inaitwa life style disease!!
mwanamke wa hivi michosho tu! unafanya nae leo hadi mwezi ndio unapata nguvu tena! sitaki kuwasikia mimi na portable portable na mimi! yaani mnene kwangu ni disqualification # moja! maana naenda kamoja na nalala kitandani mwezi naumwa maumivu!
mi ndo niko hivo...sijui kale kampango ketu kataendelea
Mhhh haya maradhi sasa!!
Hapana yakhe inaitwa life style disease!!
washawasha ngunia la chomvi wezako wanaonga meli...african womanooo huyohili gunia la chumvi la kazi gani?
Nalog off
We we we weeee!!!! Koma kabisa. Siyo maradhi hayo bana, hizo zinaitwa NEEMA ZA ALLAH na sheick wetu. Teteteeee.
.....
.....haya mavitu yana rahayake bana!!!
Huyo ni Zena au Betina?
Labda kwa show game tu! lakni ligi mmmh!.....
.....haya mavitu yana rahayake bana!!!
akijamba lazima ukimbie room!!
Usijali bana atakubeba wewe...kama hivi
View attachment 119031