King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,721
- 68,726
Hii ndo nini?
Maana yake ni K***
Hii ndo nini?
Alihisiwa Punda,
Miguu 3.
Lol.
Mtwangio mwenzake nini?
Mtwangio mwenzake nini?
Namili suruali 2 za jins nilinunua buku buku.malapa umoja nilinunua auku nokia toch nimenunua 15,000
Shost upo???
Jamani Shemeji yangu bado yupo Segerea?
Hapa nazungumzia kitu chako Wewe Binafsi na Si cha Familia Yako/Yenu
Naanza,
Mimi Namiliki Shamba La Urithi wa Bibi na Kibuyu cha Maziwa.
Twende kazi....
Kumbe hadi mke...?Mke huna!
Mwalimu mimi sina chochote cha kwangu vyote ninepewa kwa neema tu!
Hapa nazungumzia kitu chako Wewe Binafsi na Si cha Familia Yako/Yenu
Naanza,
Mimi Namiliki Shamba La Urithi wa Bibi na Kibuyu cha Maziwa.
Twende kazi....
shosti wee nimekonda kwa mawazo jaman. Hujambo lakini?
Dogo BAGAH kuna mtu kanitukana!weeeeeee...kasoro mm
Hebu Eversmilin Gal mpeleke Arabela kule kwenye jukwaa letu labda atapunguza stressJamani sisy ebu muombee kwa Mungu mods watapunguza adhabu huku nakupikia uji wa ulezi coz umepungua
Madame B kumbe ulikuwa unaniuzia Penguine usiyemmiliki wewe?Hapa nazungumzia kitu chako Wewe Binafsi na Si cha Familia Yako/Yenu
Naanza,
Mimi Namiliki Shamba La Urithi wa Bibi na Kibuyu cha Maziwa.
Twende kazi....
Jamani sisy ebu muombee kwa Mungu mods watapunguza adhabu huku nakupikia uji wa ulezi coz umepungua