Kitu gani kwenye simu ya mpenzi wako ulipekuwa kikakustaajabisha?

Babe Ila yangu utaishika sanaaaa yaani
 
Hayo Ndo Maneno! Yaan Simu Ya Mke Wangu (nimenunua Mimi) Halafu Nishindwe Kukagua Kuondoa Virus Nyemelezi!
Mkuu asikudanganye mtu, wewe kagua ipasavyo. Tena ukipata kitu usimjulishe kama umepata kwenye simu yake, anaweza badili technic.
Sisi na watu wetu wote hatujielewi, unaweza ukampa kila kitu, ukadakwa na kazi wiki tu, ukashindwa kumpa attention anayohitaji. Mwenzako akaweza kumpa attention, atasahau yoooote uliyomfanyia wewe na kuhamia kwenye penzi jipya
 
Enzi za ujana wangu..niliwahi kukuta sms kwenye simu ya my first ..sms za mwanadada alikuwa anasoma nae huko mkoani boarding ..mdada analilia penzi la mchizi wangu ..mchizi anamjibu kikavu ile mbaya..mdada anajibebisha hadi huruma..alafu tulikuwa tumetoka kupiga game tuko halftime dah!..mood ilikata kabisa nikavaa nguo nikasepa zangu home..alisota week mbili kuomba msamaha..tangu hapo alikiwa akinipa simu yake sitaki.
 
Sasa kosa la mchzi ni lipi????
 
Unge mwambia afue mshuka kwanza.
 
Kuna muda nilikuwa na mahusiano na mkaka fulani Hivi..alikuwa anapenda kukagua simu yangu jamani..namimi sikiwa na wasi sababu sikuwa na Cha kuficha..Basi bwana siku moja tukiwa kwake katika story za hapa na pale akawa ameshika simu yake Kuna picha tulipiga siku za nyuma nikawa nataka kuziona..heh!! So huwa Kuna mafaili ukifungua sehemu ya picha kama WhatsApp au camera..kupiga jicho kwenye file la what'sapp nakutana na picha siielewi..si kiherehere Changu bwana nataka nizione..uwiiii nikakutana na picha hadi video za wadada wapo uchi..na ni wengi si mmoja na kibaya zaidi ndiyo wale wa wifi wifi Mara best..ile siki nilichoka ingawa sikuonyesha action yoyote ile..nilivyotoka pale sikumtafuta tena .
 
Yeye kuchat tu na yule mdada ni kosa..Sasa mbaya zaidi ilikuwa inaniumiza kuhisi labda washakulana maana mdada alikuwa anasema amemiss kumfulia mashati ya shule.. khaa
Duuh huwa inatokea may b kama enzi hizo jamaa bado alikuwa anasomaa... Ila kama mmekutana watu wazima kila mtu ana past history ingekuwa mwana ndo anamlazimisha game demu ningesema kwelii ..
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mpenzi mtazamaji
 
Unajitafutia Machozi ya Bure
 
unataka kujitakia magonjwa ya moyo na presha zisizo na ulazima unakaguaje simu ya mpenzi wako c ndo mwanzo wa kulazwa huo

achana nayo akifanya afanye ww usijue ukitaka kushika shika hizo simu tutakuzika kabla ya muda wako
Ulazwe kwanini huo ni udhaifu ..ni muhimu kuikagua ujue anakuchukuliaje isijekuwa unajipa matumaini kuwa unampenzi anaye kupenda kumbe mwenzio anakuchukulia kuwa ni house boy/house girl wao
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kmmk
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ayeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…