kitu gani kinasababisha hii kitu!!msaada

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,312
13,277
kuna simu yangu aina ya nokia x6,nashangaa siku hizi imekuwa na tatizo la kila unapotoa betri ukiirudishia tena,inakuwa imepoteza tarehe na muda,inabidi ufanye setting tena!naomba msaada please.
 
nenda time and date settings scroll chini utaona auto update time and date make sure ipo on.

Then nafkiri si mitandao yote tz wanasuport auto update nafkiri ni airtel na tigo tu
 
aisee sikumbuki mala ya mwisho nimerekebisha time kwenye simubyangu, hata niweke line ipi goma halipotezi majira
 
nenda time and date settings scroll chini utaona auto update time and date make sure ipo on.

Then nafkiri si mitandao yote tz wanasuport auto update nafkiri ni airtel na tigo tu

Voda na zantel wameanza kusuport miaka ya karibuni
 
aisee sikumbuki mala ya mwisho nimerekebisha time kwenye simubyangu, hata niweke line ipi goma halipotezi majira

hy ki2 nadhan iko most kwa samsung hata utoe line.
7bu ya kile ki world time application
 
hy ki2 nadhan iko most kwa samsung hata utoe line.
7bu ya kile ki world time application

hapana sio sababu ya world clock app. kuna baadhi ya simu zina vibattarey vidogo ambavyo vimeunganishwa katika circuit ya simu ambapo ukitoa battery, inasaidia pale unapo toa battery. ila ukikaa muda meeting
 
Nan kakudanganya... Ile world clock ita update vp time kama hakuna network? Acha kutudanganya

hili nalo mbwiga umekariri network peke ake ndo ina7bisha time update kwny world clock?
Kacheck polyclock zna update hd ku2mia daylight!
 
hili nalo mbwiga umekariri network peke ake ndo ina7bisha time update kwny world clock?
Kacheck polyclock zna update hd ku2mia daylight!

Afadhari mm nmecrem hvyo... Kulko ww unaetaka kutudanganya kua world clock ina update time... Mbona kama hvyo michna nayo inge kmbiza....
 
Afadhari mm nmecrem hvyo... Kulko ww unaetaka kutudanganya kua world clock ina update time... Mbona kama hvyo michna nayo inge kmbiza....

sasa nmekudanganya nn search 4 polyclock ambayo ni world clock app. Ambayo inaupdate phone's time and date using daylight.
 
Back
Top Bottom