Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,545
- 29,742
- Thread starter
- #21
Nimekupata mkuuMauzi ya kushonea nguo, Afrika Kusini utawafundisha mauzi badala ya maudhi, jifunze kukaza ulimi.
Nimekupata mkuuMauzi ya kushonea nguo, Afrika Kusini utawafundisha mauzi badala ya maudhi, jifunze kukaza ulimi.
Pole Sana mkuu Kwa hizo changamotonipo kwenye nyumba moja nimehamia kuna mama mmoja ana sura inatisha balaa...kutwa kunipakazia maneno mara leo nimelala na beki tatu wa jirani, mara ameona naingiza mwanamke usiku..dah..🤔🤔
Fanya mpango umkaze chief uone kama atapakazia tenanipo kwenye nyumba moja nimehamia kuna mama mmoja ana sura inatisha balaa...kutwa kunipakazia maneno mara leo nimelala na beki tatu wa jirani, mara ameona naingiza mwanamke usiku..dah..[emoji848][emoji848]
Huwa siwezi kula vitu vibovu.Fanya mpango umkaze chief uone kama atapakazia tena
Daah mkuu kwahiyo we mtu fasta fasta,ndo hivyo wanasema ukishindwa kukibadilisha kitu basi kubaliana nacho Tu,kubali Tu ndo watu walivyo haitakupa shida mkuuMimi nakerwa sana na watanzania kujivuta kama makonokono.
Ninakerwa sana na watu kutembea taratibu,mfano nenda mjini ukaone watu wanavyojivuta katika kutembea.
Mimi nimekuwa na utaratibu wa kutembea haraka hata kama sina hiyo haraka yenyewe,sasa unakuta nakwazika na kukerwa sana na watu wakiwa mbele yangu wanatembea taratibu na kukiwa na hakuna sehemu nyingine ya kupita isipokuwa kwa hao wanaojivuta.
Huwa nakerwa sana