Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 728
Jaribu kuangalia hii picha kwa makini, utagundua kuwa kuna kitu kinakosekana hapo....Je ni nini ambacho umeweza kutambua?
Mkuu, imanifurahisha hiyo t-shirt yake imeandikwa "......sober house" wakati yeye anaonekana teja na dealer vile vile.Jaribu kuangalia hii picha kwa makini, utagundua kuwa kuna kitu kinakosekana hapo....Je ni nini ambacho umeweza kutambua?
![]()
Sijaona 'key board' sijui unasemaje!