"We my be equal but not the same" One person my ask "And what make You different" Thats is meKitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa wewe?
Binafsi sina mali, gari, pesa wala nyumba ila uwezo wangu huu wa kuzichanga ili nisilale njaa kuanzia ya chakula mpaka papuchi ndio pekee unaonifanya nijivunie kuwa mimi wewe je?
CC Zero IQ
Tafadhalini msifznye makosa hayo eti "kujivunia" !! Usijiwekee limits au umimi..... Historiya ishatuonesha matukio na fedheha za hao..!!Kitu gani kinachokufanya ujivunie kuwa wewe?
Binafsi sina mali, gari, pesa wala nyumba ila uwezo wangu huu wa kuzichanga ili nisilale njaa kuanzia ya chakula mpaka papuchi ndio pekee unaonifanya nijivunie kuwa mimi wewe je?
CC Zero IQ
kitendo cha kufukunyua wanawake 20 wa jf, tena wenye id kubwa na known humu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Diii mbona kama umejilia time yako bureMtanzania wa kwanza kuzunguka nchi 180 duniani
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk