wacheni umbea ...wajasiriamali hawana muda wa kujadili watu, fanyeni kazi
Wakuu sii siri kwamba hili jukwaa lilikuwa ni moja ya jukwaa kubwa baada ya jukwaa la siasa, kulikuwa na debeti zilizo enda shule, sasa nauliza wale wadau wako wapi? siwaoni humu tena na je ni kitu gani kimewasibu?
hahahahaha.....ahsante kwaWalikuwa na ujasiriamali wa mdomo na keyboard. Kwenda field wamechemsha so wamekuwa wapole.
Walikuwa na ujasiriamali wa mdomo na keyboard. Kwenda field wamechemsha so wamekuwa wapole.
waliofanikiwa huwa hawasemi.ukiona mtu kidomo domo kuchangia kila mradi ujue hata kuku mmoja wa dawa hajawai kufuga