Kitu gani kimejificha kati ya sim ya line 1 na line 2

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,779
Reaction score
1,227
Nimekaa na kufikiria sana toka tech-ya line 1 ambayo inasadikika kuwa orijino baadae line mbili (mchina) mpaka line 3 na kuendelea lakin na mapinduzi yote hayo bado simu za kisasa kabisa aina ya android na s4 wanatumia line 1 hata kwenye sumsing galaxy pia japo nao wanatoa line 2 (selected). Tecno & itely wametoa smart phone za line 2 lakin kwa ubora bado hawafikii kwa nokia, htc na huawei sumsing omnia,lumia na nk. Wazee wa sciense na gasdget CHIEF MKWAWA & snipa na wengineo naomba msaada wenu
 
Last edited by a moderator:
ni utamaduni tu kaka, watu wa marekani uingereza na nchi nyengine za kimagharibi hawana utamaduni wa kutumia line zaidi ya moja,na simu hizi kubwa zinawalenga wao sababu wao ndio wateja wakubwa sisi tunagongea tu.

africa na asia ndio tuna utamaduni wa kutumia line zaidi ya moja sababu mitandao yote ni vurugu tupu haieleweki leo mzur kesho mbaya na ndio maana siku hizi karibia simu zote za bei rahisi zina line mbili au tatu. samsung, nokia, htc na wote wakubwa wana simu hizi.

kusema simu ya line mbili sio original hizi ni kamba tu haina ukwel wowote sababu ipo michina pia ya line 1

kuhusu hao kina tecno kutofkia ubora hayo ni mambo mengine kina nokia wanaspend hadi trilion 100 kwenye research ili kugundua mambo mapya hivyo hawezi kulingana na kampuni isiyojulikana hata makao makuu yapo wapi
 
asante mkuu CHIEF MKWAWA nimekupata na nilichogundua ni biashara tu wakati wenzetu wa magharibi wamejikita ktk ubora zaidi sisi tuko kwenye fassion.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom