Kitu gani kilikusikitisha zaidi 2016?

Kutekwa Kwa [HASHTAG]#besaanane[/HASHTAG] pamoja na [HASHTAG]#lema[/HASHTAG] kuswekwa jela Bila sababu
 
Kwenye siasa hakuna kinachoweza kunistua kwa kuwa anything is posible.Ila kwenye dini kilichonistua sana ni kuongezeka kwa uovu wa wanaojiita viongozi wa dini.Kwa mfano Anthony Lusekelo kukutwa amelewa chakari,Malasusa kubariki matumizi ya pombe na Mwingira kupora mke wa mtu.
Kama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gani kilikusikitisha zaidi mwaka huu hasa kwenye siasa.
 
njia ya mbinguni nyembamba
 
kusitisha ajira za ualim na kusitisha ajira za wale vjana 3000, na kukosa mkopo kwa watoto wa mackn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…