Kitu gani kilikusikitisha zaidi 2016?

Increments za wafanya kazi kutowekwa na kuvunja mikataba pia malimbikizo kibao kutolipwa.
Ben saa8,
Lema,
Melo,
Kukosa mikopo wanafunzi,
Watu Fulani kujiita Mungu,
Slowslow kuonesha unafiki wa 10000000%


#jumuiyazakimataifatusaidienitumehuruyauchaguzi2020#
 
Increments za wafanya kazi kutowekwa na kuvunja mikataba pia malimbikizo kibao kutolipwa.
Ben saa8,
Lema,
Melo,
Kukosa mikopo wanafunzi,
Watu Fulani kujiita Mungu,
Slowslow kuonesha unafiki wa 10000000%


#jumuiyazakimataifatusaidienitumehuruyauchaguzi2020#
Lema hata mimi ananisikitisha kwa jinsi alivyokosa umakini hadi kusota jela kitoto kabisa
 
Lowassa kutuaidi kuwa akishindwa atarudi Monduli kuchunga ng'ombe alafu mpaka Leo bado tunapishana nae mjini.
 
Nilisikitishwa na aibu waliyoipata wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya baada ya machinga kurudishwa barabarani.
 
Mbowe kuhujumu shirika la umma kwakutolipa kodi huku akijiita mzalendo...Mungu anamuona kwa wizi huu
 
Bunge kutokuwa live! Nimejikuta namsahau M bunge wangu had nilipomwona majuz anakomalia tamthilia ya faru john
 
Back
Top Bottom