Nikusikia upinzani Bongo kuamini kushinda Uchaguzi 2020 wakati hali yao ya kisiasa ni mbaya sana sasa inayoashiria mpaka mwaka huo watakuwa zoofu-ilhari!!!!Kama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gan kilikusikitisha zaid mwaka huu hasa kwenye siasa
Kama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gani kilikusikitisha zaidi mwaka huu hasa kwenye siasa.
njia ya mbinguni nyembambaKwenye siasa hakuna kinachoitwa kunistua,anything is posible.Ila kwenye dini kilichonistua sana ni kuongezeka kwa uovu wa anayejiita viongozi wa dini.Kwa mfano Anthony Lusekelo kukutia amelewa chakari,Malasusa kubariki matumizi ya pombe na Mwingira kupora me wa mtu.
Kukosa mkopo wa elimu ya juu na wakati vigezo ninavyo vyoteKama kichwa kinavyosemeka hapo juu ni kitu gani kilikusikitisha zaidi mwaka huu hasa kwenye siasa.