Kitu gani katika picha hii cha kushangaza?

Kitu gani katika picha hii cha kushangaza?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Angalia hii picha kwa makini halafu taja ni kitu gani ambacho kimekushangaza...!!

Safarihub-69.jpg
 
.....

.....ha ha ha hata hata hao waburitish pembeni wanashangaa!!!!

.....tulisha uza siku nyingi.........
 
Wamekaa upande tofauti tofauti na zilupo bendera zao.
Lkn pia siwafahamu
!
 
Kinachoshangaza ni wewe kuanza kutukana watu (hata kama umeweka dots) - hicho si kitendo cha kistaarabu kwa watu waliosoma
If you can't think critically, don't try to be smart on me and you're not forced to respond to it. Let us move on.
 
Yako mambo manne. Huyo mzungu kulia kavaa koti la babu yake,lina mpwaya. Huyo mtanzania(ukijudge kwa rangi) alitakiwa akae upande wa bendera ya Tanzania. Huyo aliopo kwenye bendera ya Tz kavaa pete ya harusi mkono wa kulia. Na la mwisho hiyo style ya handshake ni MASONIC!
 
ehe hivi hizo ni pichae au sura? Au nazeeka ghafla lanye?kiiruuu.
 
Move on to where? To studying that useless photo? Unajua hata hapo wanakubaliana nini?
thanks

Nimejaribu kuwa humble lakini hiyo picha haina chochote cha ajabu, especially if you are a Tanzanian katika era hii
 
Mm nashangaa hao weupe nyuma ya Tz! Kutakuwa kunadili ya kuuza maeneo yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom