Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Hao wenye Tai za rangi ya kufanana wanaonekana wanatoka nchi moja, labda ndo kwenye hiyo bendela ya Uingereza, huyo mwenye tai nyekundu yuko mmoja tu angekaa kwenye upande wa Bendera anayowakilisha.
Ila hapa ni sawa na Mkataba wa Karamagi, Mmbongo yuko peke yake Hotelini anauza nchi!
Ila hapa ni sawa na Mkataba wa Karamagi, Mmbongo yuko peke yake Hotelini anauza nchi!