Kitu gani hufanya mwanamke ampende mwanaume asiye na kitu na kuwakataa matajiri?

Uoga wako ndio umaskini wako.ungekuta saizi na we unaenda kutibiwa india hata ukipata mafua tu

Hahahah.... wewe wasema.... sikupenda kuja kupata dharau siku moja, maana dharau ndio kitu cha kwanza nakichukia katika maisha yangu.
 
Kuna Ticha mmoja Wa primary ya jirani hapa huwa namgonga gemu la hatari yaani kuna siku majirani walinigongea mlango maana si kwa makelele hayo
Sukuma baby!
Nikaze nikaze!
Ohoo unanipatia yule bwege sana!
Ingiza na maapuumbu!
Akitoka hapo nakwambia hajawah niomba hata mia tano!
 
Ulikosea sana kujidharau hapo ulikuwa unapewa ramani ya kukuweka mjini kishua!
Kweli Wa moja havai mbili
 
Hahahah.... wewe wasema.... sikupenda kuja kupata dharau siku moja, maana dharau ndio kitu cha kwanza nakichukia katika maisha yangu.
Uko sashihi mkuu, mwanamke mwenye pesa ata km unapiga shoo ya namna gani na hajiwezi kwako namna gani, ila huwa wanapitiwa na kufanya dharau sana.... na anaweza akakuaibisha mahali ambapo hujawahi kutarajia....

Trust me nna xperience sana na hii.... ulifanya chaguo sahihi.... ila sema uliwahi jombaa.... unge-make kwanza ndo usepe, hata kwa kisi kidogo ili mkikutana muheshimiane.... otherwise km pesa haikua yake
 

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…