Hehehe kwel
Subir upikiwe hivi kama hujamrejesha nyumbani lol.....
Hahahahahah
Duh....
Izo chapati
Chapati zimeivaa vizuri sana japo mzunguuko hauko vema lakini ni nzuri.
Nakuona kitumbo kimenyanyukaZilikua nyingi nimekula nimewachia hizo
Kwani shepu ya nn wakati ukiutia mdomoni ndo wazidi kuuvuruga???...mependa na hio msgπ
Nakuona kitumbo kimenyanyuka
Umefanya nimecheka sana, kwa hayo maandishi.Mwanamke jikoππππ