Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 ,uvundo mtupuNina test mbili kesho jumapili. Muda huu naenda tena Zambezi halafu narudi kusoma saa nane usiku hadi asubuhi. Vipi nikushtue tuende wote tuka-enjoy ?
we umenena vema sana hahahha ndio kazi iliyobaki chezeya wanafunzi weyehahah vijana bwana!!! haya mkanunue sub woofer,i-phone,black berry.....
wewe kweli kichwani zero.Mimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
Wale wa mabibo hostel kunyweni,laleni pale block G(kwa waopafahamu) au kule uwanjani,naskia siku hzi mmewekewa taa
so hYO NDIO MATUMIZI sahihi ya bumuMimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
wazo zuri....Kabla hamjamalza boom kumbukeni yafuatayo
1.kumbuka kutoa fungu la kumi mana si mali yako ni mali ya Mungu
2.kumbukeni kuweka hata akiba mana mpaka mwezi wa pili siyo mchezo
3.Kwa wale wenzangu na mimi kumbukeni kuwatumia japo 1000 wazazi kwa ajili ya mafuta ya taa robo
4.Kumbuka kuwekeza japo kamtaji ka 50000 katakusaidia kesho ukikwama
Hivi jamani, umekumbushwa mbali mabibo hostel??!!? wenzio tunakumbushwa mbali kwenye maamuzi mlimani city palitakiwa pajengwe hiyo mabibo hostelaiseeeeee baba v unanikumbusha mbali block g napafahamu sana nakumbuka nilipo kuwa mwaka wa 2 nilikosa pa kulala na wa2 walio ishiwa boom ndio palikuwa chumbani kwetu pale coz 2likuwa 2napiga story bandika banduo mpaka kunakucha unapiga shato pori mpaka chuo saa 7 unapata rb kipindi hicho mia 6
baba v msalimie mama v lini utamleta huku mkuu rombo 2oate nae mbege
Nilikesha Zambezi. Huyo aliyeletwa hajitambui ni mwingine
HAKIKA SISHANGAI!!! dunia sio yako mkuu!!!Habari wana JF. Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija nyumbani kwangu hasa mke wangu akiwa kaenda kazini huwa anakaa kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake nje nje. Nikikaa naye karibu huwa ananishika shika makusudi. Sasa jana uvumilivu ukanishinda. Alikaa tena kwenye kochi na kuyaacha mapaja yake wazi . Nikamshughulikia! Alijilengesha mwenyewe. Baada ya kumaliza kumshughulikia ipasavyo akanisifia eti najua sana kufanya mapenzi. Anataka tena! Naombeni ushauri please kabla mke wangu hajajua. Akijua itakuwa balaa.
i see.......
HAKIKA SISHANGAI!!! dunia sio yako mkuu!!!
0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 ,uvundo mtupu