Kitu bariddddd

Kuna bar moja wahudumu wanachomekeaaa sana

Ova
 
Hii ngoma mpaka asubuhi

Ova
 
Hii ngoma mpaka asubuhi

Ova
Leo mrangi mpaka kuchele!
Mimi hapa nasubiria Jmosi kwa hamu.

Hivyo vidude nikipiga kitimoto yangu huwa mpaka nasahau idadi. Ila Muhudumu akitaka kuniibia nastuka.

Ndiyo maana napenda kuhudumiwa na ninaowafahamu. Hakuna kitu nachukia kama kunizidishia bill. Ni kama unaniona mjinga!
 
Hahahaha

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…