Kitu bariddddd

Haha [emoji23] [emoji23] duh ni [emoji91][emoji91]
Safari mojaa uanzisha ingine apo ndo napozielewaga izi mambo
Mzee baba nmetoka zangu kwenye mitkasi hakuna cha kufanya nimeamua nijidunge kinywaji changu pendwa

Ova
 
Inabidi niagize Dabo Dabo alafu mm mzee wa kukaa kauntaa tu siku zote

Ova
 
Mimi huwa napenda kukaa kauntaa maana kuchomekewa bili ngumu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…