Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Kuolewa tunaolewa ila wengi tunakuwa single maza refer faiza na sugu afu uone mwanamke anayekuja kuolewa na sugu,lakin tufanyeje jamn kupendeza tunataka na ndoa tunataka sasa tunafanyeje



Hahahaa...aisee...ila inategemea ntu na ntu..kuna wanaume wanapenda fashionista...
 
Yani demu wangu awe na mguu bombaa aufiche kwenye mavitenge na magauni???

Haiwezekani mzeebaba
 
Kitu Ambacho wanawake/wasichana hawajui ni kwamba, Wanaume hawaoi mtu alivaa nusu uchi/ au kuwa wazi hao wanakuwaga wa mpito tu. Kila mwanaume anatafuta mwanamke ambae atatulia nae na alietulia kichwani. Lakin mvaa vichupi,vimini,sijui bikini hawa hatuoi!!!!!
Nakubali wavaji ovyo wataishia kuwa michepuko
e, post: 32140106, member: 114064"]
Sema wewe huoi usimsemee kila mtu
[/QUOTE]
 
And that's my point,kwanini mchepuko aonekane ana tabia mbaya halafu wewe mume wa mtu ujione una tabia njema?ndege warukao pamoja wamefanana hao,there is no exceptions katika hili.
Aliyesema wanao chepuka wana tabia njema ni nani? Kwani hujaona nilichoandika hapo?
Sio mtembea uchi wala mchepukaji mwenye tabia nzuri, aheri anae chepuka kidogo kuliko anae tembea uchi hovyo barabarani.
 
Halafu wanaume wa jf muwe mnakubali katika kutokubalina,haimaanishi eti point ukitoa wewe basi ni valid.Si njema sana katika afya ya mijadala.be open minded manake zaid ya comment mbil unasema watoa point wanawatetea watembea uchi.
Sijakulizimisha ukubaliane na nilichokisema ila inatia mashaka kidogo kwa jinsi unavyojaribu kujenga hoja ya kutake tuwaone wanao vaa nusu uchi kuwa wako sawa.
Oky, umesema vema kuwa tunaharibu afya ya mijadala, je wewe vipi kwa upande wako unaona kujaribu kumtafutia haki mtu anae vaa nusu uchi kisa ni jinsia moja na wewe, wakati wajua kuwa si vyema, hiyo vipi haiwezi kuharibu afya ya mijadala.?
 
Back
Top Bottom