Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Sema wewe huoi usimsemee kila mtu
Sawa kabisa. Hizo nguo zenyewe tuliletewa badae sana ila hapo kabla watu walitembea uchi na bado walioana, uko kwa mswati watu bado wanavaa nusu nabado wanaoana tena inawezekana kukawa na wasichana mabikira wengi zaidi yasisi tunaojifanya tuna maadili yakuvaa gubigubi.Linapokuja swala lakuoa kila mtu ana choice yake.
 
Ukweli unauma!
Hao wavaa uchi na wabana matako na kutunisha kifua hao tunapiga na kusepa tu.
 
Wanakoolewa wavaa nusu uchi ni kule kule ambako kuna makundi ya watu eti "wanatumia uhuru wao" kutembea uchi wa mnyama hadharani. Huku kwetu Tanzania ukiona anavaa nusu uchi au nguo za kubana ujue anajiuza. Wapo vijana wanaoa hao lakini ni wale ambao hawajitambua. Asilimia 99 ya wavaao hivyo (HATA KAMA WAMEOLEWA) wanajiuza. Kwani hamjui wapo wanawake wengi tu "kwenye ndoa" ambao wanajiuza?
 
Sawa kabisa. Hizo nguo zenyewe tuliletewa badae sana ila hapo kabla watu walitembea uchi na bado walioana, uko kwa mswati watu bado wanavaa nusu nabado wanaoana tena inawezekana kukawa na wasichana mabikira wengi zaidi yasisi tunaojifanya tuna maadili yakuvaa gubigubi.Linapokuja swala lakuoa kila mtu ana choice yake.
Sasa wewe ni mwanaume..?
Msome huyo mwenzio
 
Kitu ambacho hawataki kukubali hiki,
Alafu utakuta anajisifu ooh" natongozwa kila mtaa hadi kero sasa hivi wanaume mkoje"
Unatongozwa hovyo kwasababu unatamanisha watu tu kwa kutembea uchi lakini sio kwamba et we ni mzuri sana.
Mwanamke mwenye heshima zake hatongozwi hovyo kuna nidham yake katika kumfata, sio nyie mnaoparamiwa ovyo hadi na mateja.
Yani watembea uchi wote mtabaki tu kuwa michepuko a.k.a Kete na sio kuolewa labda mbadilike.
 
Ujue mwanamke atokaye naye anakusadifu ulivyo,so kama una mchepuko mtembea uchi hudhani ndivyo moyo wako upendavyo aina hiyo ya wanawake? hahahahah
Mfano mtu kama zito hawezi kuwa na mchepuko kama gigy money ama ambarutty
 
Naona unataka kujaribu kutetea wakaa uchi, soma hapo, nilikwambia kuwa aina hiyo ya wanawake sio kwamba watakosa wanaume, hasha, watapata ila kwa kutamaniwa na si kwa kupendwa kisa tu yupo uchi.

Alafu mchepuko ni mchepuko tu na sikuzote hakunaga mchepuko unao sadifu tabia njema, kwasababu huko kuchepuka kwenyewe tayari ni mbaya, kwahiyo haijalishi unachepuka na nani bado itasadifu tabia mbovu tu, sijui kama walijua hilo?
 
Teh teh kama mke wa gwajima halafu wanachepuka na maslay queens na wanawahonga hatare hahahahah
Wake zao wanawafiacha hata kuongozana wanaona tabu,kama mke wa gwaji boy amejulikana baada ya mzee kukumbwa na skandali ila mwanzo alimficha teh teh

Umenisaidia mama ake...hehehe tunavaa kisasa na ndoa kila jms tunaolewa..!kwanza wengine kujivika mavitenge kama mama mchungaji hatupendezi jaman..sijui mavilemba km tunataka kupaa its a big NAH!binafsi nikivaa hvyo ht hubby atanikwepa kbs...kuna nguo mie sivai kwasasa
1.skin tyt mie sivai kbs kwasasa ht iwe nzito...ninaboreka tu inashape sana..lakini nyingine najivalia vzr tu...watuache
 
Back
Top Bottom