Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Teh teh kama mke wa gwajima halafu wanachepuka na maslay queens na wanawahonga hatare hahahahah
Wake zao wanawafiacha hata kuongozana wanaona tabu,kama mke wa gwaji boy amejulikana baada ya mzee kukumbwa na skandali ila mwanzo alimficha teh teh
Waumini wake mbona wanamfahamu mama mchungaji wao siku zote,wewe tu ndiyo ulikuwa humfahamu,na ungekuwa unafatilia ibaada zake ungekuwa unamfahamu maana kila siku yuko front.
 
Kuvaa kimini sio sifa pekee ya kumfanya mwanamke asiolewe.
Unazungumzia vimini gani Mkuu, maana kimini kikifika kwenye goti sioni tatizo. Na mie hivyo navaa na mume niko naye
Siamini kama hujanielewa nilichokisema kwa jinsi ninavyokufahamu hapa, nadhani ni katika kutaka kuwatetea watembea uchi, ila sio mbaya sababu ni wanawake wenzako.
 
Naona unataka kujaribu kutetea wakaa uchi, soma hapo, nilikwambia kuwa aina hiyo ya wanawake sio kwamba watakosa wanaume, hasha, watapata ila kwa kutamaniwa na si kwa kupendwa kisa tu yupo uchi.

Alafu mchepuko ni mchepuko tu na sikuzote hakunaga mchepuko unao sadifu tabia njema, kwasababu huko kuchepuka kwenyewe tayari ni mbaya, kwahiyo haijalishi unachepuka na nani bado itasadifu tabia mbovu tu, sijui kama walijua hilo?
And that's my point,kwanini mchepuko aonekane ana tabia mbaya halafu wewe mume wa mtu ujione una tabia njema?ndege warukao pamoja wamefanana hao,there is no exceptions katika hili.
 
Siamini kama hujanielewa nilichokisema kwa jinsi ninavyokufahamu hapa, nadhani ni katika kutaka kuwatetea watembea uchi, ila sio mbaya sababu ni wanawake wenzako.
Halafu wanaume wa jf muwe mnakubali katika kutokubalina,haimaanishi eti point ukitoa wewe basi ni valid.Si njema sana katika afya ya mijadala.be open minded manake zaid ya comment mbil unasema watoa point wanawatetea watembea uchi.
 
Waumini wake mbona wanamfahamu mama mchungaji wao siku zote,wewe tu ndiyo ulikuwa humfahamu,na ungekuwa unafatilia ibaada zake ungekuwa unamfahamu maana kila siku yuko front.
Siongelei waumin wake,naongelea watanzania kwa ujumla walikuwa hawamfahamu,alikuwa anajitokeza hadharani peke yake mara zote kama senior bachelor kumbe ana mke,yalipomkuta hahahah ndo bibi yule kuletwa kwenye vyombo vya habari kuokoa jahazi teh
 
Jiwe gizani
Kitu ambacho hawataki kukubali hiki,
Alafu utakuta anajisifu ooh" natongozwa kila mtaa hadi kero sasa hivi wanaume mkoje"
Unatongozwa hovyo kwasababu unatamanisha watu tu kwa kutembea uchi lakini sio kwamba et we ni mzuri sana.
Mwanamke mwenye heshima zake hatongozwi hovyo kuna nidham yake katika kumfata, sio nyie mnaoparamiwa ovyo hadi na mateja.
Yani watembea uchi wote mtabaki tu kuwa michepuko a.k.a Kete na sio kuolewa labda mbadilike.
 
Fact
Naona unataka kujaribu kutetea wakaa uchi, soma hapo, nilikwambia kuwa aina hiyo ya wanawake sio kwamba watakosa wanaume, hasha, watapata ila kwa kutamaniwa na si kwa kupendwa kisa tu yupo uchi.

Alafu mchepuko ni mchepuko tu na sikuzote hakunaga mchepuko unao sadifu tabia njema, kwasababu huko kuchepuka kwenyewe tayari ni mbaya, kwahiyo haijalishi unachepuka na nani bado itasadifu tabia mbovu tu, sijui kama walijua hilo?
 
Hata makahaba wa kimboka nowdays wanavaa baibui na nikabu
Mavazi sio main factor ya kujudge tabia ya mtu
Nenda ukiwa umevaa hivi ofisini kwako au katika ofisi za serikali/sekta binafsi then njoo u-tupatie mrejesho hapa kuwa umeonekana ni mtu wa namna gani

Tukubali tukatae 'Mavazi ni moja ya identity inayo tambulisha Tabia zetu mbele ya jamii jinsi Zilivyo ..ni ngumu kuvitenganisha vitu hivyo viwili mkuu
1425314406407.jpeg
 
Hata makahaba wa kimboka nowdays wanavaa baibui na nikabu
Mavazi sio main factor ya kujudge tabia ya mtu
Kwamba mtu avae hivi halafu isiwe main factor ya kujudge Tabia yake ...you can't be serious mkuu '

Ndio maana hata huko kwenye nyumba zenu za ibada wameamua kukataza wa vaa nusu uchi kwenda na Mavazi ya aina hiyo kwenye majumba yao ya ibada. ..though naomba niku kumbushe tu kuwa nyumba za ibada ni 1 ya viwanda vinavyo tegemewa na jamii kwaajili ya kuzalisha jamii yenye watu wenye desturi /tabia njema. ...so kitendo cha kuyakataa hayo Mavazi basi kinatoa nafasi ya kuona kuwa ni Mavazi ambayo mtu akiyavaa anaonekana kuwa ana Tabia chafu
ZamMHWFP_400x400.jpeg
 
Kitu Ambacho wanawake/wasichana hawajui ni kwamba, Wanaume hawaoi mtu alivaa nusu uchi/ au kuwa wazi hao wanakuwaga wa mpito tu. Kila mwanaume anatafuta mwanamke ambae atatulia nae na alietulia kichwani. Lakin mvaa vichupi,vimini,sijui bikini hawa hatuoi!!!!!
Haya kuanzia Leo tutaanza kuvaa madera
 
Back
Top Bottom