Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Kitu Ambacho Wasichana/Wanawake Wakijui

Joined
Aug 9, 2018
Posts
95
Reaction score
294
Kitu Ambacho wanawake/wasichana hawajui ni kwamba, Wanaume hawaoi mtu alivaa nusu uchi/ au kuwa wazi hao wanakuwaga wa mpito tu. Kila mwanaume anatafuta mwanamke ambae atatulia nae na alietulia kichwani. Lakin mvaa vichupi,vimini,sijui bikini hawa hatuoi!!!!!
 
Ukweli wasiopenda kuskia dada zetu,Sisi hatuoi wakaa uchi labda kula na kusepa tu.
mke bora lazma ajiheshimu na kuheshimu jamii yake,kuvaa vinguo vifupi inayoonesha na kuchora baadhi ya viungo vyako vya siri ni kuitamanisha jamii yako.Sasa kweli huyo mtu umuweke ndani si utakua umeiolea dunia.Uzungu una waathiri sana wanawake zaid ya wanaume ndo mana kuna ongezeko la maslay queen mtaani
 
kama wanadhani tunaoa wakaa uchi basi mama zao wasingeolewa maana enzi hizo walijiheshimu na waliolewa tena ndoa zilidumu
 
Utafiti wako umeufanyia wapi kwasababu kama ni duniani utakua umechemka kwasababu swala la mwanaume kuoa haliko tanzania tu na kila mwanaume ana vigezo vyake.
 
Ukweli wasiopenda kuskia dada zetu,Sisi hatuoi wakaa uchi labda kula na kusepa tu.
mke bora lazma ajiheshimu na kuheshimu jamii yake,kuvaa vinguo vifupi inayoonesha na kuchora baadhi ya viungo vyako vya siri ni kuitamanisha jamii yako.Sasa kweli huyo mtu umuweke ndani si utakua umeiolea dunia.Uzungu una waathiri sana wanawake zaid ya wanaume ndo mana kuna ongezeko la maslay queen mtaani
Msaada, hivi slay queen ni mtu/ mwanamk waina ganii.
 
Back
Top Bottom