King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,170
- 4,334
Mapenzi sio sehemu yako ndugu,angalia tu prison break itakusaidia hii.
Hahaha!! mpendwa, Nakaribia kumalizia ule mfungo wako.umeanza tena.
![]()
Uko siku ya ngapi sasa🤣🤣Hahaha!! mpendwa, Nakaribia kumalizia ule mfungo wako.
DuuhSingle ya maandishi ushaidi uko wapi unaishi na mimi?

Hahaaa wewe ID yako ya juzi kwa hiyo filimbii nikiipiga poteaDuuh
Utoto Raha.
Bidada labda nikuambie tu, JF huwa haihitaji mbwembwe sanaaaa
JF inataka utumie Akili sanaaaa
Wenzako walikuwepo humuhum na mbwembwe zao lukuki
Ivi navoongea wanasoma hapa kwa ID ya Afisa Kipenyo kama sio Afisa Pai.
![]()
Meaning?Version two ya katoto kazuri
Hujakosea umepatiaDemu anaandaa kama vile kichwan hakuna nati
Waooo ungeenda tu kwa mparangee shida iko wapi ili ulipie vinywaji vyako.nakumbuka nilienda klabu mombasa nikaopoa dem mkali sana nikampa vinywaji tani yake na ma rommance kufa mtu huku washkaj niko nao wakinicheki na kunionea donge!
unajua ilikuwaje?
mda anaenda nikaamua kumfata nyuma nimlinde nisiibiwe ajabu akaingia choo cha kiume na mi nikaingia!
nikamkuta anakojoa kasimama hiyo mbio nilifunguka hapo hadi kwa masela ili tusepe..
wakanijibu tulia hii ndo mombasa endelea kula gambe!
got it what am sayin folks??
Kapotea ila tumemisigiHivi Demiss ndo amepotea kabisa au ana ID nyingine?
Hahaaa wewe ID yako ya juzi kwa hiyo filimbii nikiipiga potea






Hapa tayari, si bure" 
Tunatesa twanga pepeta, hatutaki shari, tunatesa, twanga pepeta hatutaki shari..Wazee wa bandari, meli hiyo....



Stress....somebody just aint alright upstairs!
Da habari mchanganyiko hata haieleweki, Kila la kheriWanaume wa humu jueni hili kuwa wanawake wahumu sio single bali kuna kipindi mtu anafunguka kuongeza mtu tofauti na yule aliyenaye ila sio hana .
Nyie mna dhani huyu mtu nisingle.
Mfano hai ni huu mie ni nisiwe mzuri au mzuri na mtu wangu.
Shida nyie mkiona mtu anashida mnaanza kudhani ni single . Kwa hiyo mnaanza kudis qualify .
Mara madharau mara hujui shida yake.
Kunatofauti ya kumtaka mtu na kuhitaji msaada . Msione mtu kawa serious anashida mkadhani anataka ma*****mbu yenu . HAPANA .
MTU anataka msaada tu. Kwani ninapotoka huku nilikuwa naliwa na wanyama siwatu tena nimetafuta mchumba au msaada ifikie watu wahuku muwe na akili sana sana wale wanaojiona wao ndio wao real life ni bora konda. Yeye konda anatafuta chakula chake cha kila siku.
Message za humu ukisoma nyingi mnajionaa kama kweli ndio maisha halisi mnaishi .
Mtu huku anaringa kama utajiri wake ni wa jaz na beyonce.
Nakumbuka humu kuna mtu aliingia inbox akanipa ukweli wa maisha mie siingi inbox za watu maisha sio haya maisha niutoke ujue kuwa dunia imesha sio ile ya kujiona nakusumbua watu na hujawekeza hata jiwe .
Muwe na siku njema
Pole kwakutongozwa, afu wewe ni parody