Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
-
- #21
Zamani ndio naunga mkono hoja ila kwa sasa wai hatunaga stress tumekuwa kinachonikera nikujiona .stress zimekua nyingi ..au nasema uongo ndg zangu?
Single ya maandishi ushaidi uko wapi unaishi na mimi?Mwanangu wee m-bad[emoji23][emoji23]
Hivi videmu saa ingine sijui ni kujishaua
Kametutukana Mapumbu yenu
Alafu kumbe kameshasema kako singo
Ndo maana nilikwambia relax mtu mmoja asikufanye uwajumuishe wanaume wa jf sawa mama.Zamani ndio naunga mkono hoja ila kwa sasa wai hatunaga stress tumekuwa kinachonikera nikujiona .
Mie sina hela nautu mie sina madharau na heshima mie sina maneno machafu nyie badhi yenu madharau .
Nikweli mwaya nitaenda tu mwenyeweNdo maana nilikwambia relax mtu mmoja asikufanye uwajumuishe wanaume wa jf sawa mama.
Relax achana nae utapata mwanga wa hiko anachoringia.
Dada hebu funguka kinagaubaga msaada haswa unaouhitaji ni upi? Unataka tu kupokelewa kwa kuwa si mwenyeji hapa mjini au unatakaje huenda ukasaidika zaidi samahani lakiniNikweli mwaya nitaenda tu mwenyewe
Hii ngalawa aisee...Wazee wa bandari, meli hiyo....
Ushafika ubungo lakiniWanaume wa humu jueni hili kuwa wanawake wahumu sio single bali kuna kipindi mtu anafunguka kuongeza mtu tofauti na yule aliyenaye ila sio hana .
Nyie mna dhani huyu mtu nisingle.
Mfano hai ni huu mie ni nisiwe mzuri au mzuri na mtu wangu.
Shida nyie mkiona mtu anashida mnaanza kudhani ni single . Kwa hiyo mnaanza kudis qualify .
Mara madharau mara hujui shida yake.
Kunatofauti ya kumtaka mtu na kuhitaji msaada . Msione mtu kawa serious anashida mkadhani anataka ma*****mbu yenu . HAPANA .
MTU anataka msaada tu. Kwani ninapotoka huku nilikuwa naliwa na wanyama siwatu tena nimetafuta mchumba au msaada ifikie watu wahuku muwe na akili sana sana wale wanaojiona wao ndio wao real life ni bora konda. Yeye konda anatafuta chakula chake cha kila siku.
Message za humu ukisoma nyingi mnajionaa kama kweli ndio maisha halisi mnaishi .
Mtu huku anaringa kama utajiri wake ni wa jaz na beyonce.
Nakumbuka humu kuna mtu aliingia inbox akanipa ukweli wa maisha mie siingi inbox za watu maisha sio haya maisha niutoke ujue kuwa dunia imesha sio ile ya kujiona nakusumbua watu na hujawekeza hata jiwe .
Muwe na siku njema
And downstairs will suffer the consequences.somebody just aint alright upstairs!
Watu hamlali? 😀And downstairs ain't right either.
Tunakunywa chai, huku tunatoa doziWatu hamlali? 😀
Niseme tu mimi sijaelewa hata kinaongelewa nini kwenye huu uzi.
Bora umerudisha hii profile picture[emoji1787][emoji1787]
😄😄umeanza tena.😀😀😀Bora umerudisha hii profile picture