Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Wanaume wa humu jueni hili kuwa wanawake wahumu sio single bali kuna kipindi mtu anafunguka kuongeza mtu tofauti na yule aliyenaye ila sio hana .
Nyie mna dhani huyu mtu nisingle.
Mfano hai ni huu mie ni nisiwe mzuri au mzuri na mtu wangu.
Shida nyie mkiona mtu anashida mnaanza kudhani ni single . Kwa hiyo mnaanza kudis qualify .
Mara madharau mara hujui shida yake.
Kunatofauti ya kumtaka mtu na kuhitaji msaada . Msione mtu kawa serious anashida mkadhani anataka ma*****mbu yenu . HAPANA .
MTU anataka msaada tu. Kwani ninapotoka huku nilikuwa naliwa na wanyama siwatu tena nimetafuta mchumba au msaada ifikie watu wahuku muwe na akili sana sana wale wanaojiona wao ndio wao real life ni bora konda. Yeye konda anatafuta chakula chake cha kila siku.
Message za humu ukisoma nyingi mnajionaa kama kweli ndio maisha halisi mnaishi .
Mtu huku anaringa kama utajiri wake ni wa jaz na beyonce.
Nakumbuka humu kuna mtu aliingia inbox akanipa ukweli wa maisha mie siingi inbox za watu maisha sio haya maisha niutoke ujue kuwa dunia imesha sio ile ya kujiona nakusumbua watu na hujawekeza hata jiwe .
Muwe na siku njema