..hii inawezekana kweli???
hataaa...sitaki kuamini
Nami alama hizi zimenijia ??!!
Huyu mleta uzi katukamata masikio yaani anataka atuingize chaka hata mimi kama inagoma vile
kuingia akilini!
Hapo Mamba kapatikana, maana kashikwa kwenye muhimili wake
..hii inawezekana kweli???
hataaa...sitaki kuamini
paka mate
ukiona hivo ujue mamba washaanza ulofa..
Na huwezi kula bila kuliwa kidogo.Kweli muwinda huwindwa Lol!
kwa hiyo mwisho wa siku aliweza kumtafuna?!na huyu jamaa hula msosi akiwa juu ya mti aliweza kupanda naye mtini!!Ukitaka kuamini lipia King'amuzi cha DSTV na angalia channel namba 182 walionesha jinsi alivyomuwinda mpaka akamkamata.
huwezi jua, kwa hawa mamba wa kichina si ajabuHakuna kitu kama hiki