Kitoweo kikiwa kitupu bila nguo

alinyonyolewa kabla ya kuchinjwa! au?
 
figganigga, njoo nimempata yule kuku wetu alieibiwa. Uje na sime.
 
Last edited by a moderator:
ukiona kanyonyolewa, jua ..............! aiseeee!
 
haki za wanyama wadau zizingatiwe, na wao wana feel kuumizwa khaa
 
Unyanyasaji kwa Viumbe hai.Unamyonyoaje akiwa Mzima?
 
Hawa ni kuku wakisasa toka china na wako hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…