kitoto toto

kitoto toto

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
kitototo....
-nilijua chakula cha wanga ni nyama za watu
-nilijua watoto wanauzwa na mama mjamzito anaenda kununua
-nilijua ukienda kujisaidia ni lazima uvue nguo zote kama unapokuwa unaoga
-nilijua kufanya mapenzi ni matusi

endelea
 
-nilijua albino hawafi ila wanapoteaga kumbe mafisadi walikuwa wanawaua. lol
 
-nilijua wajawazito hawatakiwi kula mayai watamsababishia mtoto kuota upara
 
--nilijua tanu yajenga nchi kumbe haina hata mkono na nchi inajengwa na wananchi
 
Back
Top Bottom