Kitongozeo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,580
Reaction score
860,728
Unapoyatafakari mapenzi kwa kina unaweza kujikuta unacheka tu mwenyewe, unajua kila mwanaume ana jinsi yake ya kutongoza, jinsi nyingine ni vichekesho tupu!

Zamani kule vijijini kuna watu walikuwa wanatumia nguvu zao kama kitongozeo, wao ni magangwe ni wababe wanaogopeka lakini kuna wazee wao ni wachawi au wanamiliki mifugo nk

Siku huku mjini kuna mabitozi wanatumia magari, utanashati,mdomo, sikonyo nk kama kitongozeo lakini kali kuliko zote ni huyu jamaa anayetumia ushanga kama kitongozeo, yani yeye anavaa ushanga mmoja leo akiwa na mwanamke huyu akibadili mwanamke anavua ushanga kwahiyo wanawake wanabaki kwenye dillema, huyu anasema jamaa anavaa ushanga yule anasema si kweli kwahiyo wengine watataka kuhakikisha basi jamaa anakuwa ndio mchezo wake
 
wewe hapo watumia kitongozeo gani mkuu??? mshana jr
 
Last edited by a moderator:

kwahio kama hio shanga ndio kitongozeo kabla hajawapata huwa anaishika mkononi au anavaa kata k kuwaonyesha???
 
sasa hapo sijaona kama katongoza jamani.. au mimi ndio sijaelewa mleta mada???

process iliyoelezewa hapa haisemi kama katongoza, tumeelezewa 'output' yani keshagegeda tayari, baada ya hapo habari zikasambaa kwamba ana ushanga..!

sasa swali, ametongozaje?... 'input'. (mbinu alizotumia ni zipi mpaka ushanga wake ukaonekana)
 
Mbinu zipo lukuki kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…