Kitimoto

Kitimoto

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,445
Reaction score
8,418
Kitimoto akiwa ndani ya pamba akikatiza mitaa

Kitimoto.jpg
 
Angepita kariakoo wavaa vipedo wangechimba lami nzima kisa mr haramu a.k.a noah kapita yaani huu msimamo wa kumuona nguruwe haramu wangeutransform huo msimamo kwa kuhimiza waislam wasome,au kuhimiza michango ya kujenga shule wangefika wapi?

unajadili mnyama au udini na elimu za watu?...
 
Huyu mnyama anazo haki kama wanyama wengine, ila ni haramu kuliwa kama alivyo haramu nyani, sokwe, simba, fisi etc. No big deal.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom