Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
Kitimoto Rosti Diet๐ฆ๐๐ฝโโ๏ธ๐น๐ฟ
Nipo viwanja sisi hatunaga weekend ๐๐๐๐ฅ
Anastasia21
Nipo viwanja sisi hatunaga weekend ๐๐๐๐ฅ
Anastasia21
๐๐๐ Hamna mkuu nazingatia tiziAisee Utakuwa nw Kitambi Kikubwa sana Mkuu
Kwaiyo kama mtukufu ndo tusile nyama?Mwezi mtukufu huu
Nikiambiwa hapa nitoe kitu kimoja mkuu nakutoa wewe!Kitimoto Rosti Diet๐ฆ๐๐ฝโโ๏ธ๐น๐ฟ
Nipo viwanja sisi hatunaga weekend ๐๐๐๐ฅ
Anastasia21
View attachment 3265807
Mimi kitimoto bila kuona vingozi vyenye manyoya huwa naona bado sijala kitimoto.Nikiambiwa hapa nitoe kitu kimoja mkuu nakutoa wewe!
this is five star lovie not mgahawa...๐Mimi kitimoto bila kuona vingozi vyenye manyoya huwa naona bado sijala kitimoto.
Hovyooothis is five star lovie not mgahawa...๐
kwenda namangozingozi yako urafi tu..๐คฃHovyooo
Dadeki, alooo we kweli mnazi wa mbuzi katoliki mpaka vinyoya!!Mimi kitimoto bila kuona vingozi vyenye manyoya huwa naona bado sijala kitimoto.
Watu wale vitu mkuu., Sijaona shida mtu kupost Rosti ya Mdudu.Tuwaheshimu na ndugu zetu waliofunga Ramadan basi. Hata wakristo wako kwenye kwaresma pia. We should not show our attachment to the foods at least in public
Ha ha ha ha ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHovyooo
Kwa Hadhi ya hii kitu, inabidi iwe na national kitimoto day ๐คฃKitimoto Rosti Diet๐ฆ๐๐ฝโโ๏ธ๐น๐ฟ
Nipo viwanja sisi hatunaga weekend ๐๐๐๐ฅ
Anastasia21
View attachment 3265807
Kingozi ndo kitimoto chenyewe.kwenda namangozingozi yako urafi tu..๐คฃ
nyinyi ni warafi na waroho!Kingozi ndo kitimoto chenyewe.