nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Nipigie 0714064767 niwe namletea kwa kilo shs 7,000/= kwa oda ya uhakika ILA kwa aliye serious tutafanya biashara nipo Dar mzigo nakuletea bila wasiwasi hata ukitaka tuingie mkataba
Kama unauza kwa bei hiyo,mimi naweza kukupa supply kwa kilo sh 5000 kama utachukua ofisini kwangu na 5500 kama nitakuletea.This means una faida ya sh 1500 mpaka 2000 kwa kilo.
weka namba zako za simu.

Japo biashara ni matangazo, tangazo lako limekaa kibaguzi sana! Ni nani aliyekuambia Wakristo peke yao ndiyo wanaokula mbuzi Katoliki a.k.a KITIMOTO? Rekebisha tangazo lako ili upate wateja wengi.Nipigie 0714064767 niwe namletea kwa kilo shs 7,000/= kwa oda ya uhakika ILA kwa aliye serious tutafanya biashara nipo Dar mzigo nakuletea bila wasiwasi hata ukitaka tuingie mkataba
Unapatikana wapi
kwa kilo moja upo karibu ubungo msewe namba yangu ya simu Ni 0714064767hata kg 1, sehemu yeyote ya dsm?