Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Why unamkamata mtu wakati huna ushahidi...almost wanaenda zaidi ya miezi 6 wapo ndani ushahidi bado haujakamilika?....
 
ila hako ka sister kanaonekana kapo vizuri ki uchumi mpaka leo bado kanawaka tu pamoja na misukosuko yote hii
 
Kukaa rumande ni kwa usalama wao mkuu
Acha urongo weyee....angekuwa baba yako huyo ungeandika hivi???...umesikia Nyumbani kwao hakuna usalama?....ebu nenda kakae wewe mahabusu ndo unajua kama kunavutia....
 
Hii sheria ya uhujumu uchumi iangaliwe upya
Kwa maoni yangu ni sheria mbaya. Waendesha mashtaka wanaweza kutumia sheria hii kuweka oibgamizi la dhamana hivyo kuwaadhibu watu kwa kuwaweka ndani muda mrefu kuliko hata muda wa kifungo iwapo mtu atakiri au atapatikana na kosa husika. Kwa sheria hii ilivyo kama kesi itaendeshwa kwa miaka saba au kumi mshtakiwa atakaa mahabusu muda wote huo!
Ajabu ni pale atakapo patikana na hatia yawezekana akahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela! Na iwapo hatakutwa na kosa tayari mtu huyu anakua amesha adhibiwa kwa muda wote atakaokaa ndani
 
Reactions: AWM
Why unamkamata mtu wakati huna ushahidi...almost wanaenda zaidi ya miezi 6 wapo ndani ushahidi bado haujakamilika?....

Hivi ni visasi na chuki za viongozi wetu. Sio haki kumweka mtu jela siku zote hizi kwa makosa wasiyoweza kuyathibitisha mahakamani.
 
Sa nyingine ukishiba unaweza tafuta kivuli kipo wapi ukapumzika tu.
 
..duh Dada anazidi kuchakalia rumande...naona hata nyapu atagawa rumande...kisa wizi wa pesa za umma....sasa anazifaidi vipi....tamaa mbele....kunyea debe matokeo....
 
Acha urongo weyee....angekuwa baba yako huyo ungeandika hivi???...umesikia Nyumbani kwao hakuna usalama?....ebu nenda kakae wewe mahabusu ndo unajua kama kunavutia....
Babaangu sio mhujumu uchumi rumande akafanyeje
 
kwani hawa watu hawakuiba hela yetu mbona tunakuwa wanafiki hivyo acha na wao waonje joto ya jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…