Kitilya, wenzake waendelea kusota rumande

Wacha aendelee kusota, malipo ya ubaya ni hapa hapa alinifukuza tra kwa sababu sikuwa mchaga ili aajili wachaga wenzake

Ndo walivyo wachaga - wana roho mbaya sana na ni-wakabila!!
 
Huyu mdada atavumilia kweli......mmmhh
 
Waswahili wanamsemo kuwa "Hujafa, Hujaumbika" na "Aliye Juu mngoje chini"

Yaani wakati Kitilya anaanza kutesa na Mashangingi na ofisi yenye kiyoyozi enzi hizo, Someone alikuwa bado yupo mitaa ya village probably a cattle herder!!

Naona by now atakuwa ameyaonja maisha ya Kishetani!!
 
polen wana kaskazini....

chukulieni kama ni pito, Mungu yu karibu kushusha ukombozi wake...

najaribu kuwaona kama wana waislaieli wakiwa utumwani...
 
Ndo walivyo wachaga - wana roho mbaya sana na ni-wakabila!!

mkuu wachagga walikukosea nini!?

"hata muunini mmoja akikukosea, usitukane dhehebu zima"

hongera kwa kuzaliwa kwenye kabila lenye watimilifu

M
 
hata wakikaa miaka 10...lkn werevu hukumu tushaanza kuhisi ni ile ya siku zote...dpp haoni haja ya kuendelea na kesi ...then movie imaisha
 
Hivi Leo hii nikilipwa 1bn Kama commission Na gharama zangu Na wafanyakazi wenzangu ni 200m lakini baada ya mwezi hiyo hela haipo kwenye account Yangu , zitakuwa zimeibiwa, Na Bank, au nimejiibia? Au ?!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…