Kiti MOTO hiki ni BALAA

Status
Not open for further replies.
Jamani leo ni Jumatatu jamani, . . .
 
watoto wa ma mdogo wakiona hivi hasa ktk kipind hik cha mfungo watakulaan.inasemekana kuwa sasa hiv kinadoda mabuchani.bada ya mfungo pita ktk mabanda ya kitimoto uone balaa lake.tafakari
 
Ha ha ha ha ha ha, kinadoda, lol
 
Leo muda wa saa tisa ivi nitakua pale Caribean bar, karibu kabisa na bunge Dodoma ,,kuna mtaalamu (mpare) wa kutengeenea hii kitu.
 
<br />
<br />
astakafirulah, jamani mtaharibu swaumu yetu! kwani kushushia hiyo kitu usiku nayo mbaya?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…