Kiti cha Zanzibar UN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiti cha Zanzibar UN

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Aug 3, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,278
  Likes Received: 14,517
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Kama hakiko basi kitakuwepo siku hizi za karibuni hichi kiti cha Wa Zanzibar "I Have A Dream"


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Akaa kumbe nawe MZNZ?
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Niupate wapi UZanzibar ?mimi ni Mzaramo wa Bagamoyo........ MadameX
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  [​IMG]Flags of Zanzibar and Kenya Raised at United Nations Headquarters Dec 1963.
   
 7. a

  altaaf Senior Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tanganyika nayo tungependa kukiona wakati ule !
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,168
  Likes Received: 1,823
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  "I fear [Zanzibar] will be a big headache for us" - J.K. Nyerere

   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  ( "I fear [Zanzibar] will be a big headache for us" - J.K. Nyerere) haya Maneno ya Baba wa Taifa Mwalim Nyerere ndio sasa yanajitokeza Mkuu.@Nonda
   
 10. Mwandwanga

  Mwandwanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 2,649
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  uploadfromtaptalk1344042303070.jpg [​IMG] heli wajiengue tu
   
 11. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ila ilikuwa ni wakati ule. Kwa sasa Znz haina kiti wala haitakuwa nacho. Kuisaidia Znz ni kuigeuza mkoa mmojawapo wa Tanzania ili uwe mwisho wa maneno. Ila kama waznz wanataka kujitenga si wajaribu waone kama ni rahisi hivyo? Na kama kweli wanataka kujitenga kwanini wang'ang'aniwe na bara? Tumeishachoka kusikia malalamiko ya muungano na sizitaki mbichi hizi?
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kwanini sifahamu tusitengane kama wameng'ang'ania hivyo
   
 13. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  You confused me when you said you have a dream
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Sio maneno yangu hayo (I Have Dream ) Bali ni maneno ya Kiongozi wa Kanisa la Kilutheri duniani Dr MArtin Luther King jr. Nimekopi tu hayo maneno

  samahani sikuchanganyi lakini kama unavyoona huko Visiwani hawataki Muungano wamesha choka na ndoa ya miaka 48

  wanacho taka wao wawe huru hata wewe Madame X ukiolewa na Mume mumeishi miaka 48 itafika wakati utamchoka wewe

  huyo mume au mume wako atakuchoka na mwisho wa kuchokana ni kuachana sasa kati ya hizi Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar

  Zimesha chokana kuwa kitu kimoja bora vipi uonavyo wewe?Hebu nipe jibu Mkuu MadameX
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  MziziMkavu , hiyo ni ndoa ya kanisani haivunjiki...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  Sawa tuone kama ni kweli maneno yako unayoyasema mbona kwenye Biblia takatifu kuna aya inayosema hivi nanukuu ( Mathayo, Chapter 5) [SUP]5:31[/SUP] ("Ilikwisha semwa pia: `Anayemwacha mke wake, yampasa ampe hati ya talaka.) kwa hiyo hii sheria ya ndani ya Biblia haitumiki Makanisani? mkuu.@MadameX
   
 17. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,967
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha Mzizi Mkavu, safi sana. Kumbe tupo katika jahazi moja. Hongera kaka. Tunaisubiri kwa hamu JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR. Mwenye wivu na ajinyonge. Inshaallah Mungu akipenda.
   
Loading...