Hata kipindi anazunguka mawizarani kile kiti kilikuwa kinaenda kila wizara au ndo mambo ya ulinzi na usalama wa kilaza!
Ndo matatizo ya kuongoza bila mandate ya wananchi.
Constant mistrust, constant vigilance and constant mobility
Kilikuwepo mkuuHiv kwenye harus ya mdogo wake KILIKUWEPO?????
inawezekana anaweza akaki'dismantle na kuki'asemble, ndo maana ni rahisi kwenda nacho popote, viti km hivyo sisi waganga wa jadi lushoto tunavi'design vina masharti yake. teh teh teh teh!