Kiti cha ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiti cha ikulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee wa Sumo, Jul 13, 2010.

 1. M

  Mzee wa Sumo Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  [​IMG]

  Kuna kitu kilikuwa kinanisumbua kwa muda mrefu tokea wakati wa utawala was Rais Mkapa.
  baada yakuumia mguu baadae wasaidizi wake walikuwa wanazunguka na moja ya viti vilivyopo Ikulu ili aweze kukalia katika hafla mbalimbali nchini na mara nyingine nje ya nchi.
  Lakini baada baada ya Kikwete kuingia madarakani hicho kiti kimekuwa kikiwekwa kila sehemu hadi mikoani anaposafiri!
  sasa ninachojiuliza kile ni kiti cha Rais ama cha Ikulu, maana mi nilidhani ilikuwa kinamsaidia Mzee Mkapa wakati mguu unamuuma!
  Labda kuna wengine mnajua utaratibu wa viti hivyo. Nawasilisha.
  Hapa kiti hicho nyuma ya Rais wakati mama maria Nyerere alipomtembelea Ikulu hivi karibuni.
   
Loading...