...uwendawazimu mtupu,Darful & Congo wanakufa kama kuku hawawezi hata kutuma askari mmoja wa kusaidia atleast kuweka buffer zone,sasa leo wanaongelea United States of what? na leo tuu NEPAD (African broadband project imekwenda kaputi kwa ajiri ya selfishness za waafrica) huku tumebaki kukamuliwa na satellite za wazungu in billions kila mwaka kwa ujinga wetu tuu,yaani aibu kubwa sana Africa hatuna chakula wala umeme tumebaki ombaomba tuu,Mugabe anamaliza watu wake na kuwafanya nusu ya nchi wakimbizi wa njaa tumebaki kumsingizia Tony Blair...sometimes naanza kuamini hatuna akili,kwanini sehemu wanazokaa wazungu hata kama ni Africa maendeleo yanakuwepo(South Africa,Zimbabwe ya wakati ule,Namibia etc),tumebaki kusingizia kila kitu wazungu na ukoloni huku njaa,Richmond,EPA etc vikitumaliza