Kitengo gani cha benki kina maslahi mazuri

Ukitaka maokoto ya kweli benki, usiangalie sana title ya idara, angalia nani anagusa revenue na nani ana influence kwenye maamuzi makubwa.

Kwa kawaida corporate banking, treasury, credit kubwa na baadhi ya nafasi za risk nanagement ndizo zina package tamu zaidi kuliko HR, Admin au Content Creation.
Ahsante
 
Ukishajua then?, kwanza benk hakuna pesa kama unavyodhani
Unataka pesa na freedom ujasiriamali is only way hakuna tajiri amefanikiwa kwa kuajiriwa.
Kwani mleta mada amesema kua anataka kua tajiri?
kwahiyo wajasiriamali wote ni matajiri sio?

Nyie motivation speaker hua mmekaa kama sponge,mnameza kila kimiminika mtakacho mwagiwa,

Huu mtandao wenyewe wa JF kuna watu wameajiriwa na ndio wanaokuwezesha wewe kuchangia humu,
Kifaa unachokitumia kuwasilisha hoja zako hapa pia kimetengenezwa na watu walioajiriwa.
 
Ndo maan mimi nilimtukana sikutaka hata kumjibu andaz huyo
 
Kwani mleta mada amesema kua anataka kua tajiri?
kwahiyo wajasiriamali wote ni matajiri sio?

Nyie motivation speaker hua mmekaa kama sponge,mnameza kila kimiminika mtakacho mwagiwa,

Huu mtandao wenyewe wa JF kuna watu wameajiriwa na ndio wanaokuwezesha wewe kuchangia humu,
Kifaa unachokitumia kuwasilisha hoja zako hapa pia kimetengenezwa na watu walioajiriwa.
Sawa Muajiriwa
 
Back
Top Bottom