Ongezea na mdodoro wa kiuchumi huku kila kitu kikiwa hewaukichoka sana uwezo wakufikiri unapungua,yaani sisimizi unamuona tembo,kuna wakati mtu anazungumza na wewe husikii hata jambo moja zaidi yakuona midomo yake ikichezacheza..!!UKUTA,Ukata,Tetemeko wanachanganyikiwa kabisa
serikali imefeli kwenye mambo mengi sana, jambo pekee ililofaulu ni kuendesha kila kitu kisiasa.
Halafu kama kweli hao ni wataalam waliohitimu bila figisuKipimo kidogo kabisa kinachoonesha jinsi tulivyo, rejea lile tukio la yule mtoto aliyezama kwenye dimbwi karibu na Mlimani City, unakumbuka wale waokoaji walitumia kijiti kukoroga maji wakati mtambo wanao pale, wakanusurika kupigwa, raia mmoja akajitosa akazama akaenda kuipata maiti wao wameduwaa,
Raia mmoja ambaye hajapelekwa mafunzoni alifanya kazi kubwa, kuliko timu ya waokoaji waliosomea kazi ya uokoaji wakiwa na machine ya kazi, "are we serious!!!"
Kwa mfano mdogo huo jiulize fedha wanazotengewa zinatumika wapi
Kipimo kidogo kabisa kinachoonesha jinsi tulivyo, rejea lile tukio la yule mtoto aliyezama kwenye dimbwi karibu na Mlimani City, unakumbuka wale waokoaji walitumia kijiti kukoroga maji wakati mtambo wanao pale, wakanusurika kupigwa, raia mmoja akajitosa akazama akaenda kuipata maiti wao wameduwaa,
Raia mmoja ambaye hajapelekwa mafunzoni alifanya kazi kubwa, kuliko timu ya waokoaji waliosomea kazi ya uokoaji wakiwa na machine ya kazi, "are we serious!!!"
Kwa mfano mdogo huo jiulize fedha wanazotengewa zinatumika wapi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi ni wangapi wanajua tuna hiki kitengo Tanzania?
Nafikiri kipo! Tena kinaongozwa na mpare mwenzako.Kitengo hiki muhimu sana cha taifa kinaweza kuwa kashfa nyingine kubwa! Hatukuona makali yake hakikusikika popote mpaka waziri mkuu alipoamua kutembeza bakuli kusaidia wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na maeneo mengine ya Tanzania
Hiki kitengo kilipata umaarufu mkubwa enzi za Mzee Mkapa labda kutokana na majanga mengi ya wakati ule lakini pengine na mahitaji ya kisiasa
Kuna maswali mengi kukihusu hiki kitengo
Kiko chini ya wizara gani?
Wafanyakazi wake wanapatikanaje?
Mkurugenzi wake ni nani?
Ofisi zake ziko wapi?
Akaunti zake zikoje? Zinasimamiwa na nani?
Hili tukio la tetemeko linaweza kufumua makaburi yaliyokwisha sahauliwa lakini pia litukumbushe kuwa Tunahitaji kama taifa sasa kuwa na hiki kitengo kinachojitegemea bila mikono ya wanasiasa View attachment 400064View attachment 400065View attachment 400066View attachment 400067View attachment 400068
Kumbuka dhana ya kutosaini makaratasi ya mtu anayekataa mkono wakoEbu niwekeni wazi kidogo ivi hilo jimbo linaongozwa na mbunge alietoka chama gani na jina lake nianzie hapo kwanza niendelee kutafakuli maana naona nyota nyota na serikali yetu tule na kuweka akiba ya maafa.
Ni nchi maarufu sana kwenye "paperwork", utendaji ni minus kabisa.
