Kitengo cha walemavu, tembeleeni ferry kuna walemavu wateseka

Mpira wa kona

JF-Expert Member
Nov 25, 2016
350
500
Naomba kuchukua nafasi hii kuutaka Uongozi wa Wizara Husika Na WALEMAVU kutmbelea FERRY Kuja kujionea idadi kubwa ya walemavu wanaoishi Kwa kuomba abiria wanaovuka .Naamini kama Mh.Rais anavyowambia Watanzania kuwa anawapigania wanyonge in vena hao wahusika Na Walemavu wakawatembelea huku Ferry ili waone ni namna gani Serikali itakavyowasaidia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom